Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Sunday, October 24, 2021

NETFLIX WATOA TAKWIMU.

 


#UNAAMBIWA Kwa mujibu wa Netflix Mtu mmoja pekee kati ya Watu 100 anaweza kufanikiwa kumaliza kutazama movie ya Veronica mwanzo mwisho, ni movie ambayo iliingizwa sokoni mwaka 2017 na inatajwa kuwa ndio movie yenye matukio ya kutisha na yanayoogopesha kuliko movie zote.


Veronica ni Filamu ya Kihispania ambayo imefanywa na Director Paco Plaza ikihusu maisha ya kweli ya Mtoto wa kike Estefania Lazaro ambaye alifariki mwaka 1992.

Mliotazama hii movie mtuambie, ni BIG YES au BIG NO?


0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates