Wakati mashabiki wa rapa #KanyeWest wakiisubiria album yake mpya #DONDA, inayotoka Agosti 6 mwaka huu, mkali huyo awaonyesha picha ya chumba chake anachoishi kwasasa ndani ya uwanja wa Mercedes Benz mjini Atlanta Georgia, ambapo alifanya listening party ya album hiyo.Itakumbukwa, #Kanye alichukua chumba ndani ya uwanja huo kwa ajili ya kuishi humo akiwa katika hatua za mwisho za kuimalizia album yake ambayo ilihairishwa kutoka Julai 23.
Pia imeelezwa, tangu Kanye aanze kuishi humo hajarudi kwake kwa wiki ya pili sasa na ameajiri mpishi kwa ajili ya kumpikia chakula kwa siku ambazo atakuwa akiishi hapo.

0 comments:
Post a Comment