Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Wednesday, July 28, 2021

BOB: WALIKATAA WIMBO WA DIAMOND WAKATI BADO HAJAPATA JINA.


 Producer @bobjuniortz Amefunguka Moja Kati Ya Story Ambayo Hajawai Kusahau Wakati Anaanza Uproducer Ambapo Amefunguka Kuhusu Wimbo Wa Msanii diamondplatnumz Kukataliwa Kwenye Moja Ya Redio Za Bongo Kwa Madai Ya Kuwa Haikua Imeandaliwa Vizuri - -

.@bobjuniortz Amesema"Wakati Naanza Kwenye Mambo Ya Production Za Muziki Nilienda Kujifunza Nje Ya Nchi Kwanza Ndipo Nikarudi Kufungua Sharobaro Records, Nilivyoanza Kumfanyia DIAMOND Wimbo Wa Kamwambie Nilimpa CD Alipeleka Katika Redio Kubwa Na Wimbo Ulirudishwa Kwamba Mixing Ni Mbaya Na Mimi Nachokumbuka Nilichokifanya Ni Sawa,
.
Nikamwambia Sawa Nitairudia Alivyoondoka Baada Ya Siku Moja Akarudi Nikampa CD Ileile Hakujua Ilivyopelekwa Wakaipokea Wakaishangilia Wakasema Hii Mixing Ndio Kali Hivyo Kuna Changamoto Nyingi Sana Ilikufikia Malengo Au Ndoto Yako''-Amesema (@bobjuniortz)

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates