Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Wednesday, July 28, 2021

URUSI WANATUMIA ZAIDI YA MILIONI 460 KUTUNZA MWILI WA RAIS.




 Kwa mwaka Urusi hutumia zaidi ya Tsh Milioni 460 kwajili ya kuutunza mwili wa aliyewahi kuwa Rais wao Vladimir Lenin (1919-1924) ili uwe na muonekano wa mtu aliye hai kwaajili ya watalii. Lenin alizaliwa mwaka 1870 na kufariki tarehe 21/01/1924.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates