Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 27, 2021

RAIS SAMIA SULUHU ATOA NENO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KWENYE TOZO YA MIAMALA.

 


“Kuhusu suala la miamala kutuma na kupokea tulianza July, Wananchi wakalalamika na kwakuwa sisi ni Serikali sikivu tulipokea maoni yao, July 29 2021 tutapokea maoni ya Kamati tuliyoiunda na tutaujulisha Umma tunakwendaje kwenye hili” ———Rais Samia.

“Tulikusudia fedha hizi (za tozo ya miamala) ziende kwenye Barabara, kwenye maji n.k, Watanzania tumesikia vilio vyenu lakini hizi tozo nataka niseme zipo ila tutaangalia njia nzuri ambayo haitoumiza Watu, Serikali ipate na maendeleo yaendelee, kazi iendelee” ——— Rais Samia leo Ikulu Dar es salaam wakati akiwaapisha Mabalozi

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates