Wednesday, July 28, 2021
FAHAMU JINSI AMBAVYO WAKOREA HAWATOI HARUFU MAKWAPANI
Wakorea wengi hawatumii pafyumu kwa sababu hawatoi harufu kwapani. Watu wa jamii ya Korea na baadhi ya nchi zingine (Asia mashariki na Amerika kusini) wana jini (gene) ya ABCC11 ambayo inazuia utengenezwaji wa vitu vinavyogandisha jasho mwilini na kusababisha harufu mbaya. Ni vigumu kupata pafyumu kwenye maduka ya Korea. (News-medical)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment