Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Wednesday, August 11, 2021

IDRISA SULTAN AINGIA KWENYE ORODHA YA WATU MAARUFU WANAOINGIZA HELA NYINGI INSTAGRAM.


 Idris Sultan ndiye Mtanzania pekee ambaye ametokea kwenye orodha ya mastaa wa dunia ambao wametengeneza pesa ndefu kupitia mtandao wa instagram mwaka 2021 (Instagram Rich List), kwa mujibu wa tovuti ya #HopperHQ.

Idris Sultan mwenye jumla ya wafuasi 7M yupo kwenye nafasi ya 108, akitajwa kutoza kiasi cha ($42,800) TZS. Milioni 99.2 Ku-post Tangazo la Biashara.

Mwimbaji wa Nigeria Davido yupo nafasi ya 53 kwenye orodha mpya ya mastaa wa dunia ambao wanaingiza pesa ndefu kupitia mtandao wa Instagram (Instagram Rich List) mwaka 2021. Davido mwenye jumla ya wafuasi 20.9M+ anatoza kiasi cha ($128,300) TZS. Milioni 297.5 kwa post ya Tangazo la biashara.

Kwa upande wa Celebrities, Davido yupo namba 38 duniani, akikamata namba 1 kwa upande wa Afrika huku akifuatiwa na Yemi Alade.

Kwenye Orodha hii Diamond Platnumz Huyupo licha ya kuwa na wafuasi wengi🤔.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates