Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, October 22, 2021

BIG SEAN APIGA PICHA NA NYUKI 65,000 MWILINI.


 inapokuja suala la kufanya chochote ili upate kitu kizuri chenye uhalisia basi hilo sio gumu kabisa kwa mastaa hasa wasanii wa muziki kwenye kazi zao.


Moja ya picha zinazotrend mtandaoni kwasasa ni hii kutoka kwa @bigsean, ambaye ni rapa kutoka Marekani. Mkali huyo ame-share picha yake akiwa na kundi la nyuki wakati ana shoot video ya wimbo wake mpya uitwao “What A Life” ambao anatarajia kuuachia.

Kwenye maelezo yake @bigsean ameeleza kuwa picha hiyo ni yakweli na sio yakutengeneza, pia amedai idadi ya nyuki hao walikuwa ni Elfu 65,000.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates