Monday, July 12, 2021
NEDY MUSIC AMJENGEA MAMA YAKE NYUMBA MAJOHE.
Nyota wa muziki nchini 🇹🇿 @nedymusic amethibitisha kumjengea mama yake mzazi nyumba mpya majohe
#Nedy kupitia ukurasa wake wa instagram ameonesha picha ya nyumba hiyo ambayo ni zawadi kwa mama yake mzazi
"Alhamdulillah 🙏Kidogo For My MOM❤️ Soon Pakimalizika Watu Wa Majohe Mjiandae!!! Nawaletea Mama Wa Kipemba Huko Kwenu Sasa😂❤️Keep Supporting Your Boy🙏Nibadili Taswira Ya Mama NYUMBANI❤️❤️
Kama Unawasaidia Wazazi Wako Na Familia Kwa Kile Kidogo Ulichobarikiwa, Mifuko Yako Ibarikiwe Na Isikauke Kamwe 🙏🏼" ✍.....@nedymusic
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment