Bondia @floydmayweather ameshinda kitita cha shilingi milioni 82 baada ya kubashiri (Bet) kuwa #ConorMcGregor atashindwa katika pambano lake dhidi ya #DustinPoirierKupitia Page yake ya Instagram #Mayweather ameweka wazi mkeka wake huo ambao alikua ameweka kiasi cha shilingi milioni 115 kwa pesa za Bongo
Ikumbukwe kuwa #ConorMcGregor alipoteza pambano lake dhidi ya #DustinPoirier hivi karibuni baada ya kuvunjika mguu ambapo ilimlazimu refa kumaliza mchezo huo kwa kufuata maelekezo ya Daktari.

0 comments:
Post a Comment