Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 12, 2021

MIAKA 3 YA KULTUREKIARI YATIMIA NA ZAWADI YA SAA KUTOKA KWA WAZAZI WAKE, CARD B NA OFFSET YENYE THAMANI YA MILION 578 .

 


Kwa mujibu wa mtandao wa #HipHopDx umeripoti kuwa Rapa kutokea nchini Marekani @offsetyrn pamoja na mpenzi wake @iamcardib wamempatia mtoto wao @kulturekiari zawadi ya saa

#Kulture alipewa zawadi hiyo ya saa aina ya #RichardMile yenye thamani ya milioni 578 ($250k) katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake ambayo ni Julai, 10 akitimiza miaka mitatu (3)

Hata hivyo, hii si mara ya kwanza kwa wazazi hawa kumfanyia mtoto wao kitu kama hicho, kwani wamewahi kumfanyia sherehe iliyogharimu $400,000 ambazo ni zaidi ya milioni 900 kwa pesa za kitanzania wakati akitimiza umri wa mwaka mmoja

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates