Saturday, July 31, 2021
ALI KIBA AKANUSHA TETESI ZA KUNUNUA VIEWS YOUTUBE.
Kufuatia video yake #Jealous kufikisha watazamaji Milioni 1 ndani ya masaa 12, King wa muziki akanusha tuhuma za kununua views kwenye mtandao wa YouTube
Alikiba amemjibu shabiki mmoja aliyepita kwenye Uwanja wa comment na kumtuhumu kuwa amenunua views kwani Likes na Trending haviendani. Alikiba amemjibu shabiki huyu kwa kumwandikia "Sitokuja kununua, kwanini unapata wivu?"
Hii ni rekodi kubwa kwa Alikiba kufikisha idadi hii ya watazamaji ndani ya masaa machache kwenye mtandao wa YouTube
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment