Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, October 12, 2021

CCM YAIPONGEZA ACT WAZALENDO.

                             "Chama cha Mapinduzi kinaipongeza ACT Wazalendo kwa kushinda katika Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba na hiyo ndio Demokrasia kama ambavyo Rais Samia alivyoahidi kuwa ataimarisha dhana nzima ya siasa safi na demokrasia, kumalizika kwa chaguzi hizi ndogo ambazo Ushetu CCM imeshinda kumetupa funzo kwa kuamini Watanzania tunaweza kufanya siasa na kuitukunza demokrasia yetu na ikawa funzo kwa wengine" ——— Katibu wa Itikadi na Uenezi-CCM, Shaka Hamdu



0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates