Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Wednesday, September 1, 2021

WATALIBANI WAVAMIA STUDIO ZA AFRIGANISTAN TELEVISION.

 



Wanamgambo wa Taliban wamevamia katika moja ya kituo kikubwa cha televisheni na kushinikiza mtangazaji kuwaelezea kama moja ya utawala unaotaka amani nchini Afghanistan

Wakiwa na silaha nzito nyuma ya mtangazaji katika kipindi kinachorushwa mubashara ,ilimlazimu mtangazaji kumhoji mmoja wa wanamgambo hao huku akiwaelezea kama watu wema.

Mtangazaji huyo aliwataka wananchi kushirikiana na kundi hilo katika kujenga upya nchi ya Afghanistan

Hatua hiyo inakuja mara baada ya kundi hilo kuchukua udhibiti kamili wa nchi hiyo kufuatia Marekani kuondoa vikosi vyake katika taifa hilo.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates