Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Sunday, August 29, 2021

MWILI WA HAMZA UMEZIKWA USIKU KWENYE MAKABURI YA KISUTU.

 


Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika makaburi ya Kisutu.


Mwili huo umezikwa baada ya kuswaliwa katika Msikiti wa Mamuur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia, Abdulrahm Hassan alisema mwili huo ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates