Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, September 13, 2021

RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA.


                                           
"Katika miezi 6 ya urais wangu, nilikuwa mkimya na mtulivu nikisoma wizara zinavyoendeshwa. Wakati mimi nawasoma, na wao walinisoma. Kati yao walichukulia ukimya na utulivu wangu kama udhaifu wakaanza kufanya yanayowapendeza. Nilikuwa najifunza, nimeona."

"Mawaziri wapya natumaini mtakwenda kufanya vizuri. Uteuzi wenu hauna maana nyie ni wazuri kuliko waliokuwepo, uzuri wenu utaonekana katika kazi. Hata tuliowateua mwanzo walikuwa wazuri, nataka kuona matokeo sitaki kuwaona kwenye TV tu mnafanya hili na lile."- Rais Samia Suluhu


0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates