Kim kadarshian alianza kujulikana mwaka 2002 baada ya kujihusisha na mambo ya fashion na kuwa karibu na Star @parishilton.
@kimkardashian alifahamika zaidi mwaka 2007 mara baada ya video ya ngono akiwa na ex wake @rayj kuvuja. Tukio hilo limefanya mpaka sasa ajutie sana jambo hilo, yeye mwenyewe anasema.
👇👇
“That is something that I have to live with for the rest of my life. That is something that is being held over my head. I try to not live with any regrets, but it’s probably the one thing I wish didn’t exist. If I could erase any of the stupid things I’ve done in life, that’s probably it and it’s more so from being a mom than anything.”
![]() |
Inasemekana Video hizo zilipangwa na Walifanya hilo jambo na mpenzi wake(Ray J) chini ya kampuni ya utengenezaji wa video za utupu. Siku ambayo kim kardashian alikuwa anatimiza miaka23 mwaka 2002 ndio walishoot Video hiyo lakini zikavuja na kupandishwa mitandaoni mwaka 2007.
Baada ya Kuvuja Kim kardashian alikuwa maarufu sana na ndipo kipindi cha Televisheni kinachohusu maisha halisi ya Familia ya Kadarshian "KEEPING UP WITH KARDASHIANS" Kikaanzishwa mwaka 2007. Kipindi hiki kimemletea mafanikio makubwa sana @kimkardashian pamoja na familia nzima ya kardashian


0 comments:
Post a Comment