Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Saturday, August 28, 2021

MSIGWA; NDEGE MPYA TANO ZITAKUJA 2023.

 


Serikali tayari imeshafanya malipo ya awali ya ndege nyingine mpya tano ambazo zitawasili nchini mwaka 2023.


“Ujenzi wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaendelea vizuri na ujenzi wake umefikia 57%. Serikali kupitia TANESCO inaendelea kununua vifaa mbalimbali vya ujenzi vya kukamilisha ujenzi huo”
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dodoma.

- Msemaji Mkuu wa Serikali @gersonmsigwa akiongea leo na wana habari katika ofisi za Habari Maelezo Dodoma

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates