Ronaldo amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea Manchester United .
Mashabiki wengi wa Man u walitamani Ronaldo astaafu soka akiwa katika timu ambayo ilimuona akiwa kinda mdogo na kumuamini, ashukuriwe sana Ferguson kwa kutupia jicho kwenye club aliyotoka nguli huyu wa soka na kununuliwa na Man u.
Makali yake hayajifichi akipewa nafasi ya kuonesha kile anakiamini na hiyo nfio dhana kubwa ya Ronaldo anapenda kucheza mpira ndio maana nao mpira una mpenda pongezi za dhati ziende kwa Manchester United kwa kuamua kumrudisha mchezaji wao ghali nyumbani.

0 comments:
Post a Comment