Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Saturday, August 28, 2021

DULLVANI:MIMI NAPIGA KAZI SIJALI MANENO YAO.


 Mchekeshaji anaependelea sana kubeba uhusika wa Kike @dullvani katika mahojiano na wasafi Tv kipindi cha Refresh amefunguka Baada ya kuulizwa anachukuliaje wale watu wanaomsema vibaya hasa katika kazi zake na kusema yeye hajali ataendelea kupiga kazi tuu


"Wale wanaofikiria mimi ni mchele mimi sio riziki au ndo jogoo hapandi mtungo sawa waendelee kusema Mimi sina shida nitaendelea kupiga kazi na nitapiga kazi kweli kweli niendelee kupata mlo na maisha yangu yaende"-Amesema Dullvani

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates