_
Diva Wa Bongo Movie (tausimdegelaoriginal ) Amewachimba Mkwala kwa wote wanaommendea Mume wake (chris )kuwa Atawatoa Roho.
-
"Hamjui Jinsi Nilivyo Mpata (chris) Kwaiyo Nawaona Mnaendelea Kumtongoza Mume Wangu kwenye Instagram Sasa Ole Waka Kunakoelekea Nitaondoka na Roho ya Mtu"-Ameongea (tausimdegelaoriginal )

0 comments:
Post a Comment