Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, August 23, 2021

RAPA DABABY AISHUKURU HOT97 KUTOMUONDOA KWENYE TAMASHA LA SUMMERJAM.


 Rapa @dababy 🇺🇲 Bahati Imedondokea Kwake Safari Hii 😄 Kwani Ameshiriki Katika Performance Ya Tamasha Kubwa Nchini Marekani #HOT97SUMMERJAM


#Dababy Ametumia Nafasi Hiyo Kutoa Shukrani Ambapo Kabla ya Kupanda Kwenye Stage Wali-Play Video Iliyoonesha Shows Za Rapa huyu Huku Ikisika Sauti (VoiceOver) Yake Ya Kutoa Shukrani Kwa #Hot97 Kwa Kutomuondoa Kwenye Tamasha Hilo

"Nashukuru Sana HOT 97 kwa Kunifanya Nishiriki Tamasha Hili" @dababy

Tamasha Hilo Kubwa Limefanyika Nchini Humo Usiku Wa Kuamkia Leo Ambapo Liliwajumuisha Mastaa Kibao Kama @iamcardib
@rotimi @therealswizzz Na Wengine

Kumbuka Kuwa Rapa Huyu Aliondolewa Kwenye Matamasha Takribani 6 kufuatia Kauli Kauli Chafu Ambayo Iliyotafsiriwa Kuwa Ya kibaguzi Kwa Jamii ya Watu Wanaojihusisha na Mapenzi Ya Jinsia Moja (LGBTQ)

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates