Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Sunday, August 22, 2021

IBRAAH:NILIMPOST FAYMA KAMA DADA YANGU SIO MPENZI WANGU.

  


_
Msanii toka lebo ya KondeGang ibraah amefunguka na kuweka wazi swala la yeye kumpost Fahyma kwenye insta story yake siku kadhaa nyuma.Katika mahojiano Ibraah alifunguka haya:

"Nilimpost Fahyma kwa sababu ni kama Dada angu ni mwanamke mzuri na ni m
Mtanzania mwenzangu,kama ningekua namtamani au namtaka ningeandika tu nampenda kwani ningefungwa??? Dini yangu haikatazi kuoa mtu aliyekuzidi umri"-Aliongea Ibraah

NINI MAONI YAKO?......

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates