Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 20, 2021

WEASEL AUGUZA MAJERAHA BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO.


  Msanii Weasel kutoka nchini Uganda, anauguza majeraha hii ni baada ya kupewa kipigo kizito kutoka kwa mfanyakazi wake wa nyumbani.


Taarifa za ndani zilizotolewa na Jarida la Big Eye la nchini Uganda zinasema kuwa, msanii huyo ameumia vibaya kutokana na mfarakano huo na Mfanyakazi wake wa ndani na kwasasa yupo chini ya uangalizi wa madaktari

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates