Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

RAIS WA MALAWI AMEWAFUKUZA KAZI WATU WENYE TUHUMA ZA RUSHWA.

  


Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera (pichani) amewafukuza kazi waziri wa nishati na katibu mkuu wa wizara hiyo, ambao wote wanakabiliwa na tuhuma za rushwa. Wawili hao walikamatwa Agosti 10, 2021, wanadaiwa kuingilia utaratibu wa utoaji wa mikataba ya kusambaza mafuta.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates