Simba imethibitisha kumuuza mchezaji wake Clotus Chama kwa miamba ya soka ya Morocco Berkane RBS.
Afisa Habari wa Simba Ezekiel Kamwaga amethibitisha hilo muda mfupi uliopita akisema rasmi Chama amepigwa bei.
Chama amekutana na Tuisila Kisinda kuitumikia Berkane RBS ya Morocco

0 comments:
Post a Comment