Nimerejea nchini kutoka Lilongwe, Malawi ambako nimeshiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC. Katika mkutano huo tumejadili masuala mbalimbali ya kuimarisha utengemano wa SADC ili kuongeza fursa za kukua kwa uchumi, kuimarisha usalama na ustawi wa wananchi
0 comments:
Post a Comment