Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

MREMBO NICOLE ATHIBITISHA KUTUMIA MILION 1.85 KWA SIKU.

 


 VIDEO VIXEN maarufu Bongo mwenye shape matata @nicolejoyberry amewatolea povu wanaodhani kuwa yeye anajiuza:

"Wanaotaka kuninunua sidhani kama wanapesa za kunilipa so far.... I think hata hapa unanifanyia interview you can see its not more money...I spend over 800 Dollars (Tsh 1.85m) a day inamaanisha kama najiuza nilipwe that means they have to pay me.... kiukweli ningekua najiuza ningekua tajiri sana," amesema Nicole

Nicole aliweka wazi matumizi hayo baada ya kufanyiwa mahojiano siku kadhaa zilizopita na kituo kimoja cha tv na kuthibitisha ya kuwa anatumia kiasi hicho cha fedha kwa siku, japokuwa maswali yamekuwa mengi sana kwa mashabiki zake ya kuwa anaingiza kiasi gani kwa siku mpaka atumie Tsh 1.85 million kwa siku?.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates