Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

HATUWEZI FANYA KAZI TUKIWA PAMOJA JANJARO AFUNGUKA.


 @dogojanjatz amebainisha kuwa yeye pamoja na rafiki na msanii mwenzie, @aslayisihaka wanatamani kufanya kazi ya pamoja ila kila wakifika studio husau wanachotakiwa kufanya,wana urafiki mkubwa kiasi kwamba hata ule userious wa ufanyaji kazi unapungua.


Akifunguka kwenye Empire ya EFM, Janjaro amedai kama ni collabo labda itokee yeye afanyie kazi mbali na Aslay afanyie mbali iishie kwenye kutumiana tu ila wakiwa pamoja hakutakuwa na jambo la kuishi nalo.

Pia Janjaro amedai wana collabo kama tatu hivi tokea zamani wameishia kuzisikiliza majumbani mwao tu😂

Sema Budah Boss unatuiba hapa,hamjaamua tu.,

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates