Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

CYRIL KAMIKAZE AWEKA WAZI YA KUWA HAJAWAHI KUGOMBANA NA JUX,


 Cyril Kamikaze ameweka wazi kile watu wasichofahamu kuhusu urafiki wa na Msanii mwenzake @juma_jux kama wameshawahi kugombana kufikia hatua ya kuvunja ukaribu wao .

Kamikaze amedai yeye na Jux ni Marafiki wa muda mrefu na Haijawahi tokea wao kugombana kwa chochote kile .
" Mimi Na Jux Hatujawahi kugombana mpaka muda mwingine watu wamekuwa wakituita mapacha ni rafiki yangu wa muda nimekuwa naye tumesoma pamoja na tumekuwa tukisapotiana kwa mengi najua hata vikombe kabatini hukwaruzana lakini sisi haijawahi kutokea na haitakuja kutokea" - @cyrill_kamikaze .
.
Cyril Kamikaze na Jux ni miongoni mwa member waliokuwa wanaunda kundi kwenye bongo fleva linalofahamika kama Wakacha .

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates