Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

CEO WA ASAS ALHAJ FARAJ AMEFARIKI DUNIA.

  


Mwanzilishi wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri (Mzee ASAS) amefariki dunia leo August 13, 2021 Jijini Dar es salaam, Mzee Asas atazikwa makaburi ya Kisutu baadaye leo, Familia imeomba Waombolezaji kutoenda nyumbani kwenye msiba.

Watu wengi maarufu kutokea Tanzania wamejivunia fedha nyingi kutoka Asas kwa kuwa kampuni hiyo imejaa ubunifu na kutamani kuwafikia watu wengi kwa wakati mmoja.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates