skip to main |
skip to sidebar
MBAPE AMEMKARIBISHA MESSI PSG.
Staa wa PSG, Kylian Mbappe amemkaribisha Lionel Messi kwenye klabu hiyo kwa kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akiandika: "Karibu Paris Leo".Mbappe ni mmoja wa watu wanaomkubali Cristiano Ronaldo lakini sasa atakuwa akicheza timu moja na Messi. 😁
0 comments:
Post a Comment