Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

MADUKA YA WAHINDI YAFANYIWA VURUGU NCHINI CONGO.

                                   


Polisi Jijini #Kinshasa wamesema Magari na Biashara za wahindi zimechomwa moto kutokana na ghasia zilizosababishwa na kifo cha Joel Malu (Mkongo), aliyefariki katika rumande ya Polisi Nchini #India wiki iliyopita
-
Polisi wamewakamata Watu watatu na kupata marobota 40 ya Nguo zilizoibwa katika ghasia hizo

Kwenye zenye ghasia wafanyabiashara wa kigeni wanapata tabu sana kutokana na baadhi ya wenyeji uwafanyia fujo tuliona Afrika ya kusini, Somalia na Libya. 


0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates