Tangu Ripoti Za Usajili Wa Messi Kwenda Psg Zitangazwe Mashabiki Wengi Walikuwa Karibu Na Mitandao Ya Kijamii Hususani Instagram Kutaka Kufahamu Kitakachoendelea Juu Ya Ripoti Hizo Na Baadae PSG Kufanikisha Uhamisho Huo Huku Messi Akisajiliwa Kama mchezaji huru (Free Agent).
-
-
Kabla Ya Masaa 72 Psg Ilikuwa Na Wafuasi Milioni 19.8 Na Sasa Ina Wafuasi Zaidi Ya Milioni 40 Baada Ya Kusajiliwa Kwa Messi.

0 comments:
Post a Comment