Wednesday, August 11, 2021
LAKERS NA PSG NDIOTEAM ZENYE MAJINA MAKUBWA KWA SASA.
Baada ya PSG kumsajiri Messi wameungana na Team ya Los Angeles lakers uko ya Marekani ambayo inashiriki katika Ligi ya NBA Marekani
Kuwa na wachezaji kwanzia wa 5 na zaidi ambao wanamajina makubwa Duniani.
Uku lakers ukiangalia unakutana na King Lebron James, Anthony Davis, Carmelo Anthony, Dwight Howard na Russle Westbrook hao wote ni wachezaji wenye Pount zaidi ya elf 10 katika Ligi ya NBA katika Carreer zao mpaka sasa.
Uku PSG wao wana kipaji vikubwa vya Neymar na Kylian Mbape huku una beki Bora duniani kwa sasa hivi Maquinhos na mtukutu Sergio Ramos huku bila kumsahau Keeper bora wa Euro 2020 Gigi Donalunma na Mchezaji Bora wa Dunia kuwahi kutokea Leonel Messi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment