Wednesday, August 11, 2021
HAKUNA NJIA RAHISI YA KUFANIKIWA ZAIDI YA KUPAMBANA `MIMI MARS.
Diva kutoka kwenye kiwanda cha muziki Mimi Mars amefunguka Mengi ikiwemo changamoto ya kukataliwa mwanzo katika safari yake ya muziki na Baadhi ya promoters .
Mimi Mars anasema katika safari yake ya muziki amepitia mengi mpaka kufika hapo alipo ni Jambo la kushukuru MUNGU amedai amewahi kukataliwa na Promoters kwamba hawezi kutoa perfomance nzuri ikiwemo kujaza watu kushuhudia show yake .
.
Yote kwa Yote Mimi Mars anasema hakukata Tamaa na kuongeza juhudi katika muziki wake na mpaka kufika hatua ambayo wameanza kumuelewa .
.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment