Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, August 24, 2021

KAMANDA WA USALAMA BARABARANI WILBROAD MUTAFUNGWA AIFUNGIA LESENI GARI YA SAULI.


 Moja ya video inayosambaa mitandaoni inaonyesha namna basi la la kampuni ya Sauli ilivyopata ajali wakati lina overtake kwenye foleni.


Ikumbukwe kuwa tayari Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini SACP Wilbroad Mutafungwa amemfungia leseni Dereva wa Basi la kampuni ya Sauli kwa muda wa miezi sita kutokana na kitendo chake cha kuyapita magari mengine bila kuchukua tahadhari (Wrong Overtake) asubuhi akielekea Tunduma kutokea Dar na kusababisha ajali na Watu wanne kujeruhiwa.

Inavyoonekana video hii alirekodi mmoja wa watu waliokuwemo ndani ya lori hilo.

Toa maoni yako baada ya kuiangalia video giyo unahisi kitu gani kinatakiwa kufanyika ili kupunguza ajali barabarani hasa wakati wa usiku.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates