Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, August 24, 2021

HUKUMU YA CAS KESI YA YANGA KWA MORRISON.

 


 Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kusikiliza kesi ya Yanga dhidi ya mchezaji Benard Morrison hii leo Jumanne tarehe 24 ikiwa ndiyo tarehe iliyopangwa.


Katika kesi hiyo Yanga ikisimamiwa na Mwanasheria Mkuu, Alex Mgongolwa ilikua inapinga hukumu iliyotolewa na kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya TFF ambayo ilithibitisha kuwepo kwa mkataba kati ya Yanga na Morrison lakini ikidai ulikua na mapungufu .

1 comments:

 
 
Blogger Templates