Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, August 24, 2021

DIAMOND KUWANIA TUZO YA MSANII BORA YA MWAKA GHANA MUSIC AWARDS UK 2021.

  


GoodNews kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa BongoFleva ni kwamba mwanamuziki @diamondplatnumz amechaguliwa kama mwanamuziki pekee kutoka tanzania na afrika mashariki kuwania tuzo za #GhanaMusicAwardsUK2021 katika kipengele cha Msanii Bora wa Mwaka.


Katika tuzo hizo zinazo tarajiwa kutolewa mwezi wa Kumi (October) mwaka huu pia zimewataja wanamuziki wengine kama #BurnaBoy ,#Wizkid #Davido#Patoranking#FireBoyDML#MasterKG#Teni, Mercy Chinwo, Judikay na Sinach katika kipengele hicho cha Msanii Bora Wa mwaka 2021.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates