Kwa kufahara na bashasha kubwa Haji Manara ameonekana akiibusu 'JEZI' ya Mwananchi huku akisisitiza kuwa huu sio muda wa kuwalalamikia TFF ni wakati wa kuchukua kikombe.
Mashabiki wa yanga bila ya kujali ni aina gani ya maneno yaliyokuwa yanatupwa na aliyekuwa msemaji wa simba Haji manara japokuwa kwa sasa amebadili upande wa pili wa shilingi na kuhamia upande wa timu ya wananchi Yanga African.
Kuna mengi ya kujiuliza ni mfumo gani wa usemaji atakao kuja nao msemaji mpya wa yanga bwana Haji manara mwendo wa vijembe utawageukia simba au atakuwa mpole na kuwaacha huru simba?
NINI MAONI YAKO KAMA MDAU WA SOKA.

0 comments:
Post a Comment