Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, August 24, 2021

ALBUM YA WIZKID ``MADE IN LAGOS`` IMEKAMATA NAMBA 1 KWENYE CHATI ZA BILLBOARD.


 Album ya Wizkid "Made In Lagos" imekamata namba 1 kwa mara ya kwanza kwenye chart kubwa za Billboard World Albums chart. Hii inakuwa album ya kwanza kwa Wizkid kuwahi kukamata namba 1 kwenye chart hizo za Billboard.

Kuna wakati lazima tuamini ya kuwa mafanikio yako sambamba na uwekezaji utaamini maneno yangu ukimuangalia wizkid kwenye chat za Billboard na hayo ndio malengo yake, leo tumeona amefanikiwa kukaa kwenye 1 chat za Billboard.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates