Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Saturday, August 28, 2021

DULLA MAKABILA: WAMEAMUA KUNICHAFUA.


 Msanii wa nyimbo za Singeli @dullamakabila ameweka wazi swala la yeye kukataa Mimba na kusema watu Hao wametumwa kumchafua na hiyo ni sababu ya yeye kutoka kwenye Familia ya Wasafi na kurudi kwa Boss wake wa zamani Majizzo.Alivoongea na Mkojani....Dulla Makabila alifunguka haya:•


"Ndugu yangu hao hawana lolote tokea nirudi kwa Majizzo wanaongea hayo ili kunichafua tuu kwa hiyo kama walimwengu wamekufata na kusema hayo najua utakua upande wangu tuu"-Aliongea Dulla Makabila

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates