Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 12, 2021

ZUCHU AFIKISHA WATAZAMAJI MILION 200 KUPITIA YOUTUBE.


  Nyota mpya wa kizazi kipya, msanii @officialzuchu amefikisha watu milioni 200 waliotazama kazi zake mbalimbali katika channel yake ya mtandao wa Youtube.

#Zuchu ambaye jina lake halisi ni Zuhura Othman alijiunga na mtandao huo Januari 29, 2019 na amepata watazamaji wengi kutokana na kazi zake mbalimbali anazoziweka katika mtandao huo.

Hitmaker huyo wa "Nyumba Ndogo" katika channel yake ya Youtube tayari ana wafusi (subscribers) MILLIONI 1.38 akiwa msanii wakike wa kwanza Tanzania kuwa na wafuasi wengi katika mtandao huo.

Kutokana na idadi hiyo ya watazamaji, @officialzuchu anakuwa msanii wa tano Tanzania akiwa na (Views) WATAZAMAJI wengi YouTube, msanii wa kwanza ni @diamondplatnumz 1.4B, wapili @Harmonize_tz 596M, watatu @rayvanny 564M, wanne @mbosso_ 326M, kisha @officialzuchu 200M.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates