Star wa muziki kutokea nchini Nigeria @wizkidayo anatarajia kupiga show kwa mara ya nyingine tena kwenye ukumbi wa #02Arena London, ikiwa ni ziara yake ya #MadeInLagos
#Wizkid mwaka 2019 aliweka Rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kuuza tiketi zote za show yake katika ukumbi huo
#Nyota huyu ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa taarifa hiyo kuwa anatarajia kutumbuiza katika ukumbi huo mkubwa mnamo Novemba 28, 2021
#02Arena ni ukumbi mkubwa maarufu uliopo nchini Uingereza jijini London wenye kuingiza idadi ya watu elfu 20, ambao unatumiwa na mastaa wakubwa Duniani kufanya show zao hapo
Je, wizkid ataweza kuweka tena rekodi ya kuuza tiketi zote katika ukumbi huo ?

0 comments:
Post a Comment