Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Thursday, July 15, 2021

ROLLS ROYCE KAMA YA DIAMOND AFRIKA ZIPO 3, GHARAMA YAKE TSH BILIONI 1.5.

  



Jumatano hii msanii ghali wa muziki na Rais wa WCB @diamondplatnumz ameonyesha gari yake mpya aina ya Rolls Royce ambayo aliwahi kutangaza kwamba ni gari ya ndoto yake.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali gari za namna hiyo zinamilikiwa na mastaa wakubwa duniani huku gharama yake ikidaiwa kufika tsh bilioni 1.5.

Bongo5TV imekutana na wakala na muuzaji wa magari nchini Tanzania @jack_namajojo ambaye amefunguka na kuichambua gari hiyo mpya na nadra sana kuonekana kutokana na gharama yake.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates