Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 20, 2021

SWIZZ BEAT NA ALICIA KEYS WATIMIZA MIAKA 11 KWENYE NDOA YAO.

 


Producer Mkubwa wa muziki kutokea nchini Marekani @therealswizzz pamoja na mke wake ambae ni star wa Muziki Marekani @aliciakeys wametimiza miaka 11 ya ndoa yao

#SwizzBeatz amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amesema kuwa wamefanya kusherekea kitu hiki kikubwa kwenye maisha yao kwa takribani masaa 72 akiwa na #AliciaKeys

Wawili hawa walifunga ndoa yao Julai 31, 2010, hivyo hadi sasa wamefikia idadi ya miaka 11

Kupitia Ukurasa wake wa instagram - Swizz Beatz ameandika kuwa 👇

72 hr date trip dump Zaaaaa. Celebrating our 11yr anniversary month all month 🙌🏽 Them Deans 🎉🎉 The fact we haven’t been back to the house in Corsica we got married at 11yrs ago until now is crazy !!!! Time goes by fast make every moment count 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 EID MUBARAK 🤲🏾

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates