Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 20, 2021

KUMBUKIZI YA CHELSEA NA DIDIER DROGBA.

 


Tarehe kama ya leo mwaka 2️⃣0️⃣0️⃣4️⃣ Chelsea ilimsaini Didier Drogba kutoka klabu ya Marseille kwa rekodi ya klabu ya ada ya Pauni milioni 24 na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kutoka Ivory Coast katika historia wakati huo.


Drogba ni mmoja kati ya washambuliaji hatari wa Afrika kuwahi kutokea kwenye ligi kuu ya England akiwa amefanya mwakubwa na klabu ya Chelsea;

🏟️ Mechi 3️⃣8️⃣1️⃣
⚽️ Magoli 1️⃣6️⃣4️⃣
🅰️ssists 8️⃣6️⃣
Ligi kuu ya England 🏆🏆🏆🏆
Klabu bingwa Ulaya 🏆
Kombe la FA 🏆🏆🏆🏆 🏆🏆🏆
Ngao ya hisani🏆🏆
Kombe la ligi (EFL) 🏆🏆🏆

Bao gani la Didier Drogba unalikumbuka?

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates