Tuesday, July 20, 2021
RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HALALI KWA AJILI YETU.
Rais Samia anafanya kazi sana, ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki, tuna bahati ya kuwa na Viongozi wanaojitoa kwa ajili ya Watanzania, Wachapakazi, Wacha Mungu, wanawapenda Wananchi wao na wanafikiria kuhusu Watanzania"
“Ndoto za Hayati JPM kuhakikisha kila kata ina maji, vituo vya afya, barabara zinatimizwa, hakuna kazi iliyosimama, Bil 23.8 kwa ajili ya elimu bure zinaendelea kutolewa na hakuna Mtoto aliyeendelea kutozwa ada hata baada ya JPM kufariki"———Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa kwenye Clouds360 ya @cloudstv
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment