Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 20, 2021

KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA MWANAMKE ALIYEZOEA KUOMBA HELA NA MWANAMKE ANAJUA KUTAFUTA HELA.


 Kwnye inshu Ya wanawake kupenda kuomba pesa na kushindwa kufanya Kazi ili wasiwe tegemezi wengi wenye akiri wamenielewa lakini wengine WADANGAJI wanasema sina pesa ndio maana nimeongea hivyo😂

Mfano mzuri jamani ni huyu kijana mwenzetu PAULA ambaye Sasa yupo kwnye mahusiano Na Rayvanny hilo sio kosa ila shida ipo hivi Hapo hakuna Upendo wowote ila kinachotafutwa ni pesa tu na mbaya zaidi mzazi Naye anajihusisha katika haya mambo kwa asilimia Zote kwasababu Hana chochote ambacho aliwekeza maana Naye aliamini kuwa hatozeeka na muda wako kuwa hautaisha so kwnye kipndi cha ujana wako Alikuwa yupo bize kufanya starehe,Kudanga Na akasahau kuwekeza mama angekuwa amejipanga vizuri asingekubali Mtoto anayempenda aingie kwnye drama za hivyo hivi za kutumiwa maana inabidi mjue kuwa Tembo Naye alipita La sivyo labda Kama hampendi Mtoto wake kitu ambacho sio kweli,ila tu analazimika maana bila hivyo Nani atalipa kodi? Nani ataleta pesa za kula? Nani atatoa pesa za all basic needs? Wakati yeye tayari muda wake umeisha Na hakujipanga?
Alafu eti Anasema kusema mnamuonea Wivu kwa mafanikio yapi aliyo nayo au kwa maajabu gan aliyoyafanya watu washindwe kumuonea Wivu SONIA Mtoto wa MONALISA waje kukuonea Wivu wewe😂😂kwa kipi?? Umeona Sasa MONALISA Tuka namfahamu hakuwa Kama kajala alijipanga anapesa zake hivyo ndio maana unamuona SONIA yupo hapo.
Jamaa msidanganye Hapo hakuna NDOA maana hata ray anajua huyo Mtoto ni ameshindikana ila tu ameamua kufanya hivyo ili AMVIMBIE HARMO Yaan Toto linachezewa Kama mpira inauma kwa Kweli😭😭😭😭
Wanawake pambaneni kutafuta maisha yenu ili uje udate na mtu sahihi uliyempenda sio uje udate na mtu kwa sababu ya pesa zake✍️

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates