Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 20, 2021

BAADA YA KUAHIRISHWA KWA PAMBANO LA HASSAN MWAKINYO NA BONDIA INDINGO.

 



Mwakinyo ameandika haya

#Repost @hassan_mwakinyo_jr
・・・
Laiti Kama Viongozi wenye dhamana ya michezo ndani ya sere kali wange jua Adha na mateso tunayopitia namna tukisafiri tunavyo umiza kichwa kulipambania taifa na kuleta heshima Nyumbani wangetuthamini na sisi lakini ni ajabu sana kuona mtu unapoteza nguvu sehem ambayo hakuna anaejali maumivu yako.... leo inazungumziwa tanzania ya maendeleo kupitiia michezo na wanamichezo wenyewe ndio sisi lakini ajabu na utashangaa na hatuoni maendeleo yake lakini bado pia kuwa na mapromoter wa chache kwenye tasnia yetu ina didimiza mno nguvu zetu 😭 nahii inatokana na wenye dhamana ya michezo ndani ya taifa hili kuwekeza nguvu zao na muamko katika tasnia moja tu ya mpira wa miguu kitu ambacho ki uhalisia kina tuumiza sisi na walio nyuma yetu baada ya sisi mnisamehe guys kama kuna mtu nita mkwaza katika haya lakini maumivu ninayo yapitia pitia hakuna mtu anaejua nimejiweka mbali na Anasa zote za kidunia lengo ni kuto muudhi Mungu Lakini pia nikuwa na focus katika safari yangu lakini kama haitoshi nimeumia nina majeraha katika miguu yangu nimeumia nikiwa camp nimekubali kuvumilia hayo yote ili siku moja niweze kufika safari yangu salama na asikwambie mtu maumivu ya mtu kufanya mazoezi kwa kutegemea utacheza game ngumu halafu isiwepo yanauma kuliko maumivu ya mapenzi.. halafu inatokea tu mtu anasema game hakuna hii inaumiza na naongea haya kwa maumivu makubwa sana kwenye moyo wangu Kwa sababu boxing mimi Ni asilimia 80% ya maisha yangu ila mimi ni muislam wa kweli imani yangu kubwa naamini INSHAALAH tutafika Mungu aliemfanya anthony joshua kuwa pale leo na Anaongelewa Na ulimwengu ndio Mungu huyu huyu wa tanga makorora wakati wangu UPO🙏

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates